Yer. 16:10 SUV

10 Tena itakuwa, utakapowaonyesha watu hawa maneno haya yote, nao wakakuambia, Mbona BWANA amenena juu yetu mabaya haya makuu? Uovu wetu ni uovu gani? Na dhambi yetu, tuliyomtenda BWANA, Mungu wetu, ni nini?

Kusoma sura kamili Yer. 16

Mtazamo Yer. 16:10 katika mazingira