Yer. 16:11 SUV

11 Ndipo utakapowaambia, Ni kwa sababu baba zenu wameniacha mimi, asema BWANA, na kuwafuata miungu mingine, na kuwatumikia, na kuwaabudu, wakaniacha mimi, wasiishike torati yangu;

Kusoma sura kamili Yer. 16

Mtazamo Yer. 16:11 katika mazingira