Yer. 16:19 SUV

19 Ee BWANA, nguvu zangu, ngome yangu, na kimbilio langu siku ya taabu, kwako wewe watakuja mataifa yote toka ncha za dunia, wakisema, Baba zenu hawakurithi kitu ila uongo, naam, ubatili na vitu visivyofaa.

Kusoma sura kamili Yer. 16

Mtazamo Yer. 16:19 katika mazingira