Yer. 16:3 SUV

3 Maana BWANA asema hivi, katika habari za wana, na katika habari za binti, wazaliwao mahali hapa, na katika habari za mama zao waliowazaa, na katika habari za baba zao waliowazaa, katika nchi hii;

Kusoma sura kamili Yer. 16

Mtazamo Yer. 16:3 katika mazingira