Yer. 16:4 SUV

4 watakufa kwa maradhi mabaya; hawataliliwa, wala hawatazikwa; watakuwa kama samadi juu ya uso wa nchi; nao wataangamizwa kwa upanga, na kwa njaa; na mizoga yao itakuwa chakula cha ndege wa angani, na cha wanyama wa nchi.

Kusoma sura kamili Yer. 16

Mtazamo Yer. 16:4 katika mazingira