Yer. 16:5 SUV

5 Maana BWANA asema hivi, Usiingie ndani ya nyumba yenye matanga, wala usiende kuwaombolezea, wala kuwalilia; maana nimewaondolea watu hawa amani yangu, asema BWANA, hata fadhili zangu na rehema zangu.

Kusoma sura kamili Yer. 16

Mtazamo Yer. 16:5 katika mazingira