Yer. 16:6 SUV

6 Wakubwa kwa wadogo wote pia watakufa katika nchi hii; hawatazikwa, wala watu hawatawalilia, wala kujikata-kata kwa ajili yao, wala kujinyoa kwa ajili yao;

Kusoma sura kamili Yer. 16

Mtazamo Yer. 16:6 katika mazingira