Yer. 16:7 SUV

7 wala watu hawatamega mkate kwa ajili yao, wakati wa kuomboleza, ili kuwafariji kwa ajili yao waliokufa; wala watu hawatawapa kikombe cha faraja, wanywe kwa ajili ya baba yao au mama yao.

Kusoma sura kamili Yer. 16

Mtazamo Yer. 16:7 katika mazingira