Yer. 18:23 SUV

23 Lakini wewe, BWANA, unajua mashauri yao yote juu yangu, ya kuniua; usiwasamehe uovu wao, wala usifute dhambi yao mbele za macho yako; bali wakwazwe mbele zako; uwatende mambo wakati wa hasira yako.

Kusoma sura kamili Yer. 18

Mtazamo Yer. 18:23 katika mazingira