Yer. 19:1 SUV

1 BWANA akasema hivi, Enenda ukanunue gudulia la mfinyanzi, ukachukue pamoja nawe baadhi ya wazee wa watu, na baadhi ya wazee wa makuhani;

Kusoma sura kamili Yer. 19

Mtazamo Yer. 19:1 katika mazingira