8 Nami nitaufanya mji huu kuwa kitu cha kushangaza watu, na kuzomewa; kila mtu apitaye karibu nao atashangaa, na kuzomea kwa sababu ya mapigo yake.
Kusoma sura kamili Yer. 19
Mtazamo Yer. 19:8 katika mazingira