Yer. 19:9 SUV

9 Nami nitawalazimisha kula nyama ya wana wao, na nyama ya binti zao, nao watakula kila mmoja nyama ya rafiki yake, wakati wa mazingira na dhiki, ambayo adui zao, na watu wale watafutao roho zao, watawadhiikisha.

Kusoma sura kamili Yer. 19

Mtazamo Yer. 19:9 katika mazingira