Yer. 2:10 SUV

10 Maana, vukeni mpaka visiwa vya Kitimu, mkaone; tumeni watu waende Kedari, mkafikiri sana; mkaone kwamba jambo kama hili limekuwa wakati wo wote.

Kusoma sura kamili Yer. 2

Mtazamo Yer. 2:10 katika mazingira