Yer. 2:11 SUV

11 Je! Taifa wamebadili miungu yao, ingawa siyo miungu? Lakini watu wangu wameubadili utukufu wao kwa ajili ya kitu kisichofaidia.

Kusoma sura kamili Yer. 2

Mtazamo Yer. 2:11 katika mazingira