Yer. 2:17 SUV

17 Je! Hukujipatia mambo haya mwenyewe, kwa kuwa umemwacha BWANA, Mungu wako, alipokuongoza njiani?

Kusoma sura kamili Yer. 2

Mtazamo Yer. 2:17 katika mazingira