Yer. 2:25 SUV

25 Zuia mguu wako usikose kiatu, na koo yako isiwe na kiu; lakini wewe ulisema, Hapana matumaini kabisa; la, maana nimewapenda wageni, nami nitawafuata.

Kusoma sura kamili Yer. 2

Mtazamo Yer. 2:25 katika mazingira