Yer. 2:28 SUV

28 Lakini wako wapi miungu yako ulioifanya? Na wasimame hao, kama wakiweza kukuokoa wakati wa taabu yako; kwa maana hesabu ya miungu yako ni sawasawa na hesabu ya miji yako, Ee Yuda.

Kusoma sura kamili Yer. 2

Mtazamo Yer. 2:28 katika mazingira