Yer. 20:7 SUV

7 Ee BWANA, umenihadaa, nami nimehadaika; wewe una nguvu kuliko mimi, ukashinda; nimekuwa kitu cha kuchekesha, mchana kutwa; kila mtu hunidhihaki.

Kusoma sura kamili Yer. 20

Mtazamo Yer. 20:7 katika mazingira