Yer. 20:9 SUV

9 Nami nikisema, Sitamtaja, wala sitasema tena kwa jina lake; basi, ndipo moyoni mwangu kumekuwamo kama moto uwakao, uliofungwa ndani ya mifupa yangu, nami nimechoka kwa kustahimili, wala siwezi kujizuia.

Kusoma sura kamili Yer. 20

Mtazamo Yer. 20:9 katika mazingira