Yer. 21:14 SUV

14 Nami nitawaadhibu kwa kadiri ya matunda ya matendo yenu, asema BWANA; nami nitawasha moto katika msitu wake, nao utateketeza vitu vyote viuzungukavyo.

Kusoma sura kamili Yer. 21

Mtazamo Yer. 21:14 katika mazingira