2 Tafadhali utuulizie habari kwa BWANA; kwa maana Nebukadreza, mfalme wa Babeli, analeta vita juu yetu; labda BWANA atatutendea sawasawa na kazi zake zote za ajabu, ili aende zake akatuache.
Kusoma sura kamili Yer. 21
Mtazamo Yer. 21:2 katika mazingira