Yer. 21:5 SUV

5 Na mimi mwenyewe nitapigana nanyi, kwa mkono ulionyoshwa na kwa mkono hodari, naam, kwa hasira, na kwa ukali, na kwa ghadhabu nyingi.

Kusoma sura kamili Yer. 21

Mtazamo Yer. 21:5 katika mazingira