Yer. 22:11 SUV

11 Maana BWANA asema hivi, katika habari za Shalumu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda; aliyemiliki badala ya Yosia, baba yake, yeye aliyetoka mahali hapa; Hatarudi huku tena;

Kusoma sura kamili Yer. 22

Mtazamo Yer. 22:11 katika mazingira