10 Msimlilie aliyekufa, wala msimwombolezee,Bali mlilieni huyo aendaye zake mbali;Kwa maana yeye hatarudi tena,Wala hataiona nchi aliyozaliwa.
Kusoma sura kamili Yer. 22
Mtazamo Yer. 22:10 katika mazingira