Yer. 22:14 SUV

14 Asemaye, Nitajijengea nyumba pana na vyumba vipana;Naye hujikatia madirisha;Na kuta zake zimefunikwa kwa mierezi,Na kupakwa rangi nyekundu.

Kusoma sura kamili Yer. 22

Mtazamo Yer. 22:14 katika mazingira