Yer. 22:15 SUV

15 Je! Utatawala kwa sababu unashindana na watu kwa mierezi? Baba yako, je! Hakula na kunywa, na kufanya hukumu na haki? Hapo ndipo alipofanikiwa.

Kusoma sura kamili Yer. 22

Mtazamo Yer. 22:15 katika mazingira