Yer. 22:23 SUV

23 Wewe ukaaye Lebanoni,Ufanyaye kioto chako katika mierezi,Utakuwa na hali ya kuhurumiwa sana,Upatapo utungu kama wa mwanamke azaaye.

Kusoma sura kamili Yer. 22

Mtazamo Yer. 22:23 katika mazingira