Yer. 22:24 SUV

24 Kama niishivyo mimi, asema BWANA, hata Konia, mwana wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, angekuwa pete yenye muhuri katika mkono wangu wa kuume, ningekung’oa wewe hapo;

Kusoma sura kamili Yer. 22

Mtazamo Yer. 22:24 katika mazingira