Yer. 22:25 SUV

25 nami nitakutia katika mikono ya watu wale wakutafutao roho yako, na katika mikono yao unaowaogopa, naam, katika mikono ya Nebukadreza, mfalme wa Babeli, na katika mikono ya Wakaldayo.

Kusoma sura kamili Yer. 22

Mtazamo Yer. 22:25 katika mazingira