Yer. 23:9 SUV

9 Katika habari za manabii.Moyo wangu ndani yangu umevunjika,Mifupa yangu yote inatikisika.Nimekuwa kama mtu aliye mlevi,Na kama mtu aliyeshindwa na divai;kwa ajili ya BWANA, na kwa ajili ya maneno yake matakatifu.

Kusoma sura kamili Yer. 23

Mtazamo Yer. 23:9 katika mazingira