Yer. 23:10 SUV

10 Maana nchi imejaa wazinzi; kwa sababu ya kuapa nchi inaomboleza; malisho ya nyikani yamekauka; mwenendo wao ni mbaya, na nguvu zao si za haki.

Kusoma sura kamili Yer. 23

Mtazamo Yer. 23:10 katika mazingira