Yer. 24:3 SUV

3 Ndipo BWANA akaniambia, Unaona nini Yeremia? Nikasema, Naona tini; tini nzuri zilizo nzuri sana; na tini mbovu zilizo mbovu sana, zisizoweza kuliwa, kwa kuwa ni mbovu sana.

Kusoma sura kamili Yer. 24

Mtazamo Yer. 24:3 katika mazingira