Yer. 24:5 SUV

5 BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kama zilivyo tini hizi nzuri, ndivyo nitakavyowaangalia mateka wa Yuda, niliowatoa katika mahali hapa, waende mpaka nchi ya Wakaldayo, wapate mema.

Kusoma sura kamili Yer. 24

Mtazamo Yer. 24:5 katika mazingira