Yer. 24:6 SUV

6 Kwa maana nitawatulizia macho yangu, wapate mema, nami nitawaingiza katika nchi hii tena; nami nitawajenga, wala sitawabomoa; nitawapanda wala sitawang’oa.

Kusoma sura kamili Yer. 24

Mtazamo Yer. 24:6 katika mazingira