Yer. 24:7 SUV

7 Nami nitawapa moyo, wanijue ya kuwa mimi ni BWANA; nao watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao; kwa maana watanirudia kwa moyo wao wote.

Kusoma sura kamili Yer. 24

Mtazamo Yer. 24:7 katika mazingira