Yer. 25:13 SUV

13 Nami nitaleta juu ya nchi ile maneno yangu yote niliyoyanena juu yake, naam, yote yaliyoandikwa ndani ya kitabu hiki, aliyotabiri Yeremia juu ya mataifa haya yote.

Kusoma sura kamili Yer. 25

Mtazamo Yer. 25:13 katika mazingira