Yer. 25:14 SUV

14 Kwa maana mataifa mengi na wafalme wakuu watawatumikisha; naam, hao pia; nami nitawalipa kwa kadiri ya matendo yao, na kwa kadiri ya kazi ya mikono yao.

Kusoma sura kamili Yer. 25

Mtazamo Yer. 25:14 katika mazingira