Yer. 25:30 SUV

30 Basi, tabiri wewe maneno haya yote juu yao, na kuwaambia,BWANA atanguruma toka juu,Naye atatoa sauti yake toka patakatifu pake;Atanguruma sana juu ya zizi lake;Atapiga kelele kama mtu akanyagaye zabibu,Juu ya wenyeji wote wa dunia.

Kusoma sura kamili Yer. 25

Mtazamo Yer. 25:30 katika mazingira