Yer. 25:31 SUV

31 Mshindo utafika hata mwisho wa dunia;Maana BWANA ana mashindano na mataifa,Atateta na watu wote wenye mwili;Na waovu atawatoa wauawe kwa upanga; asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 25

Mtazamo Yer. 25:31 katika mazingira