Yer. 25:33 SUV

33 Na waliouawa na BWANA siku ile watakuwapo, toka upande mmoja wa dunia hata upande wa pili; hawataliliwa, wala kukusanywa, wala kuzikwa; watakuwa samadi juu ya uso wa nchi.

Kusoma sura kamili Yer. 25

Mtazamo Yer. 25:33 katika mazingira