Yer. 25:34 SUV

34 Pigeni yowe, enyi wachungaji, na kulia; na kugaagaa katika majivu, enyi mlio hodari katika kundi; maana siku za kuuawa kwenu zimetimia kabisa, nami nitawavunja vipande vipande, nanyi mtaanguka kama chombo cha anasa.

Kusoma sura kamili Yer. 25

Mtazamo Yer. 25:34 katika mazingira