Yer. 26:2 SUV

2 BWANA asema hivi, Simama katika uwanja wa nyumba ya BWANA, useme na miji yote ya Yuda, wajao ili kuabudu katika nyumba ya BWANA; sema nao maneno yote ninayokuamuru kuwaambia, usizuie hata neno moja.

Kusoma sura kamili Yer. 26

Mtazamo Yer. 26:2 katika mazingira