Yer. 26:3 SUV

3 Labda watasikia, na kughairi na kuacha kila mtu njia yake mbaya; ili niyaghairi mabaya niliyokusudia kuwatenda, kwa sababu ya uovu wa matendo yao.

Kusoma sura kamili Yer. 26

Mtazamo Yer. 26:3 katika mazingira