Yer. 29:10 SUV

10 Maana BWANA asema hivi, Babeli utakapotimiziwa miaka sabini, nitawajilia ninyi, na kulitimiza neno langu jema kwenu, kwa kuwarudisha mahali hapa.

Kusoma sura kamili Yer. 29

Mtazamo Yer. 29:10 katika mazingira