11 Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
Kusoma sura kamili Yer. 29
Mtazamo Yer. 29:11 katika mazingira