Yer. 29:17 SUV

17 BWANA wa majeshi asema hivi, Tazama, nitaleta juu yao upanga, na njaa, na tauni, nami nitawafanya kuwa kama tini mbovu, zisizoweza kuliwa, kwa kuwa ni mbovu sana.

Kusoma sura kamili Yer. 29

Mtazamo Yer. 29:17 katika mazingira