Yer. 29:22 SUV

22 Tena katika habari zao laana itatumiwa na wafungwa wote wa Yuda, walioko Babeli, kusema, BWANA akufanye uwe kama Sedekia, na kama Ahabu, ambao mfalme wa Babeli aliwaoka motoni;

Kusoma sura kamili Yer. 29

Mtazamo Yer. 29:22 katika mazingira