Yer. 29:23 SUV

23 kwa sababu wametenda upumbavu katika Israeli, nao wamezini na wake za jirani zao, nao wamenena maneno ya uongo kwa jina langu, nisiyowaamuru; nami ndimi nijuaye, nami ni shahidi, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 29

Mtazamo Yer. 29:23 katika mazingira