Yer. 30:19 SUV

19 Tena kwao itasikiwa shukrani, na sauti yao wachangamkao; nami nitawazidisha, wala hawatakuwa wachache; tena nitawatukuza, wala hawatakuwa wanyonge.

Kusoma sura kamili Yer. 30

Mtazamo Yer. 30:19 katika mazingira