Yer. 30:18 SUV

18 BWANA asema hivi, Tazama, nitarudisha tena hema za Yakobo zilizohamishwa, na kuyahurumia makao yake; nao mji huo utajengwa juu ya magofu yake wenyewe, nalo jumba litakaliwa, kama ilivyokuwa desturi yake.

Kusoma sura kamili Yer. 30

Mtazamo Yer. 30:18 katika mazingira